ZINAZOVUMA:

Israel yavamia Al Aqsa.

Jeshi la Israel limevamia msikiti wa Al Aqsa usiku wa...

Share na:

Majeshi ya Israel yamevamia msikiti wa Al Aqsa usiku wa kumkia leo na kuanzia kuwapiga waislamu waliokuwa wakifanya ibada katika msikiti huo.

Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha wanajeshi hao wakiwapiga watu wasiokuwa na hatia bila huruma huku zikisikika sauti za wanawake na watoto wakiomba msaada.

Hali hii imeibua hisia za watu mbalimbali hasa waumini wakiislamu wakilaani kitendo hicho cha kikatili kilichotekelezwa na wanajeshi wa Israel.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya