Odinga alaani waliofanya uvamizi kwa Kenyatta.
Raila Odinga alaani waliofanya uvamizi kwa Kenyatta asema waliofanya hivyo wametumwa na serikali.
Wahitimu wa udaktari wafutiwa shahada zao.
St Augustine Tanzania imewafutia shahada wahitimu wa udaktari 162 kwa kosa la kutorejesha nyaraka za matokeo.