ZINAZOVUMA:

Mwezi umeandama

Bakwata yathibitisha kuonekana kwa mwezi hivyo Ramadhani inatarajiwa kuanza kesho...

Share na:

Baraza kuu la waislamu Tanzania Bakwata kupitia Muft Mkuu Sheikh Abubakar Bin Zubeir amethibitisha kuandama na kuonekana kwa mwezi siku ya leo ya jumatano tarehe 22/3/2023 hivyo Ramadhani inatarajiwa kuanza kesho Alhamisi tarehe 23/3/203.

Aidha Muft amesema wamepokea taarifa za mwezi kuonekana maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Ramadhani Mubarak..

Endelea Kusoma