ZINAZOVUMA:

Kimbunga Freddy chaua 11 Malawi.

Watu 11 wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa kufuatia mafuriko...

Share na:

Watu 11 wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Freddy kilichipelekea mvua kubwa huko Malawi.

Kwa kuhofia usalama wa raia wake serikali nchini humo imetangaza shule kufungwa katika wilaya 10 ili kuepukana na athari za kimbunga hicho kilichosababisha pia maafa nchini msumbiji.

Wanafunzi wamehimizwa kutumia mitandao na masomo ya redioni wakiwa nyumbani mpka pale shule zitakapofunguliwa ambapo muda uliopotea utafidiwa kwa kutoa masomo ya ziada.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya