ZINAZOVUMA:

India yaipita China Kwa idadi ya watu.

Idadi ya watu nchini India inakua kwa kasi na kufikia...

Share na:

India inatarajiwa kuipita nchi ya China kwa idadi kubwa ya watu mpka kufikia katikati ya mwaka 2023.

Kwa mujibu wa Hazina ya umoja wa mataifa kuhusu idadi ya watu ambayo imetoa makadalio ya mwaka 2023 ambapo India inakadiliwa kuwa na watu Billion 1.4286 huku China ikiwa na idadi ya watu Bilioni 1.4257.

Taarifa hiyo iliyotoka siku ya jana Jumanne ya tarehe 18 Aprili inaonesha mpka kufikia nusu ya mwaka huu basi India itakua na idadi ya watu milioni tatu zaidi ya idadi ya watu kutoka China.

Ripoti hiyo pia imeonesha Marekani ikishika nafasi ya tatu duniani ikiwa na idadi ya watu milioni 340.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya