ZINAZOVUMA:

Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa...
Msongamano uliosabbaishwa na anguko la mfumo Budapest

Share na:

Anguko la kampuni ya usalama wa mtandao Crowdstrike (CRWD)kutokana na changamoto za mfumo, imesababisha dunia nzima kusimama katika masuala ya usalama wa kimtandao.

Kampuni hiyo yenye makao makuu yake Texas Marekani, imesabisha huduma kama treni, ndege, benki na huduma nyingine mbalimbali zenye kutumia mtandao kusimama siku ya leo.

Hata hivyo taarifa kutoka shirika hilo zimesema kuwa tayari tatizo hilo kwenye mfumo limeshafahamika, na limefanyiwa kazi ili kuruhusu kazi na huduma kuendelea.

Kutokana na anguko hilo kampuni mbalimbali zimepata hasara, na Hisa za Crowdstrike zimeshuka kwa zaidi ya asilimia 20 ambayo imethaminishwa kuwa sawa na dola za marekani bilioni 16.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya