TANZANIA MWENYEJI MKUTANO CASSOA VISIWANI ZANZIBAR Tanzania kuwa mwenyeji kwenye mkutano wa wadau wa usalama wa usafiri wa anga afrika mashariki CASSOA kwa tarehe 15 na 16 Mei visiwani Zanzibar. Mazingira, Usafiri April 13, 2024 Soma Zaidi
Mradi wa Mto Msimbazi “Jangwani” upo mbioni April 12, 2024 Maafa, Mazingira, Usafiri Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi asema "Mradi wa Mto Msimbazi "Jangwani" upo kwenye hatua nzuri mikononi mwa TARURA"
TARURA kuunganisha kata mbili kwa bilioni 1.8 April 11, 2024 Biashara, Kilimo, Usafiri TARURA kuunganisha Kata mbili Wilayani Kilomberi Moani Morogoro kwa ujenga daraja la chuma pamoja na barabara ya changarawe kilomita 15
Shule ya Kivukoni A Ulanga yafungwa sababu ya mafuriko April 9, 2024 Jamii, Maafa, Usafiri Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt. Julius Ningu asimamisha masomo shule ya Msingi Kivukoni A kutokana na shule hiyo kujaa
Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa Manyara April 8, 2024 Jamii, Uhalifu, Usafiri Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa na Polisi Mkoani Manyara wakielekea Afrika Kusini bila vibali, Jeshi hilo litawakaidhi watu hao kwa Uhamiaji
Uwanja wa ndege wa Mwanza utakuwa wa Kimataifa April 3, 2024 Usafiri Serikali ya Tanzania imeweka wazi mpango wake wa kupanua uwanja wa Ndege wa Mwanza na kuufanya wa Kimataifa.
Maji yaondoa udongo Daraja la Somanga Mtama March 25, 2024 Habari, Jamii, Usafiri Mvua kubwa yasababisha umeguka kwa udongo kwenye karavati Daraja la Somanga Mtama na kuzuia magari kupita shughuli za ukarabati zinaendelea
Tanzania kupokea ndege mpya ya masafa ya kati October 2, 2023 Usafiri Serikali ya Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya masafa ya kati kesho tarehe 3 Oktoba 2023 na nyingne za mazoezi
Zanzibar yampa mwekezaji Bandari ya Malindi September 19, 2023 Uchumi, Usafiri Serikali ya Zanzibar imekabidhi shughuli za uendeshwaji wa bandari ya bandari kwa mwekezaji ili kuongeza ufanisi
Rais Samia: Mtwara ndio bandari ya korosho September 17, 2023 Biashara, Habari, Usafiri Rais Samia ataka korosho zote zipitie bandari ya mtwara baada ya ukarabati. Na mpango wa kuongeza bandari ya bidhaa nyingine
ATCL yatangaza ujio wa ndege zingine nchini August 15, 2023 Biashara, Usafiri Shirika la ndege la ATCL limesema mpaka sasa kuna ndege 13 nchini na mpaka kufika 2024 tayari shirika hilo litakua na ndege 16
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma