ZINAZOVUMA:

Urusi na Korea kushirikiana kijeshi

Raisi wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Korea kaskazini...

Share na:

Rais wa Korea kaskazini Kim Jon Un amemualika rafiki yake Raisi wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchini kwake ili kuendelea kuimarisha ushirikiano waliouanzisha.

Wawili hao walikutana baada ya Rais Kim kwenda Urusi kukutana na Putin ambao kwa pamoja wanekubaliana na kujadili kuhusu ushirikiano wa kijeshi.

Hata hivyo haijawekwa wazi zaidi juu ya mazungumzo yao kuhusu kipi wamekubaliana na kusaidiana katika ushirikiano wao huo.

Hata hivyo Marekani ilionyesha hofu juu ya wawili hao kukutana kuwa huenda Korea itatoa msaada wa silaha kwa Urusi ili kumsadia dhidi ya Ukraine.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya