Ruto aingia kwenye mkutano na gari ya umeme Raisi wa Kenya William Ruto ameonesha jinsi anavyothamini ubunifu na ukuaji wa Teknolojia kwa kuamua kutumia gari ya umeme kwenda kwenye mkutano Nishati, Siasa, Teknolojia September 5, 2023 Soma Zaidi
Marufuku kutumia ‘WhatsApp’ kutuma nyaraka za serikali August 31, 2023 Siasa, Teknolojia Matumizi ya WhatsApp yamepigwa marufuku kutumika katika kutuma nyaraka za serikali badala yake zitumike barua
‘Tiktok’ na ‘Telegram’ zapigwa marufuku Somalia August 21, 2023 Siasa, Teknolojia Wizara ya Mawasiliano nchini Somalia imeagiza mamlaka inayosimamia intaneti kuzima uwezo wa kuzifikia mitandao ya Tiktok na Telegram
Mapya yajiri ugomvi kati ya Musk na Zuckerberg August 14, 2023 Teknolojia Baada ya kushindikana kuingia ulingoni kupigana kati ya Elon Musk na Mark Zuckerberg sasa ugomvi wao umehamia kwenye kurushiana maneno
Maeneo ya wazi kufungwa ‘Free wi-fi’ August 10, 2023 Teknolojia Serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nauye imesema itaweka intaneti ya bure katika maeneo ya
Biden asitisha uwekezaji wa teknolojia China August 10, 2023 Teknolojia Raisi wa Marekani Joe Biden ametia saini agizo linalozuia makampuni ya Marekani kwenda kuwekeza nchini China
TCRA washtukia katuni za watoto, waja na hii August 7, 2023 Habari, Jamii, Teknolojia Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imesema itashirikiana na mzalishaji binafsi ili kutengeneza katuni zenye maadili kwa watoto
Senegal yaufungia mtandao wa ‘Tiktok’ August 3, 2023 Teknolojia Serikali nchini Senegal imefungia mtandao wa 'Tiktok' katika kile ilichokiita ni hatua ya kuleta utulivu na usalama kutokana na maandamano
Kenya yasimamisha mradi wa ‘WorldCoin’ August 2, 2023 Teknolojia Serikali nchini Kenya imetangaza kuusimamisha shughuli zote zinazofanywa na mradi wa 'WorldCoin' mpaka pale watakapothibitishiwa usalama wake
Akamatwa kwa kuwatukana viongozi mtandaoni August 1, 2023 Jamii, Teknolojia Jeshi la polisi kanda ya Dar es salaam linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kuwatukana viongozi wa serikali katika mitandao
Akaunti ya Benki ya Zambia yadukuliwa July 24, 2023 Teknolojia Akaunti ya mtandao wa 'Facebook' ya Benki kuu ya Zambia imedukuliwa na watu wasiojulikana na kubadilisha baadhi ya taarifa
Mtandao wa ‘Twitter’ kuja na muonekano mpya July 24, 2023 Biashara, Teknolojia Mtandao wa twitter umetangaza kuja na muonekano mpya ambao utakuja na jina jipya la mtandao huo
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma