BAADA YA BINTI WA ZUMA KUJIUZULU, MWINGINE AAPISHWA KUCHUKUA NAFASI YAKE BUNGENI December 12, 2025 Siasa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa August 25, 2024 Habari Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya Jumamosi akitokea Azerbaijan na ndege yake binafsi
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Biashara, Habari, Teknolojia Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma au kufanya kazi
Uganda: Afungwa miaka 6 jela kwa kumtukana Rais July 11, 2024 Habari Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais na vitendo vingine vya uchochezi lupitia Tiktok
Serikali ya Mali kuruhusu shughuli za kisiasa July 11, 2024 Siasa Kiongozi wa Kijeshi na serikali yake waruhusu vyama vya siasa kuendelea na shughuli zake za kisiasa baada ya zuio
Vikosi vya RSF Sudan vyateka hospitali July 1, 2024 Habari, Maafa, Vita Wapiganaji wa RSF nchini Sudan waanzisha mapigano katika jimbo la Sennar na kuteka hospitali hospitali
Urusi inapambana kulipa fadhila kwa Iran June 28, 2024 Nishati Shirika la Gazprom limeshindwa linaendelea mpango wa bomba la gesi kwenda Iran katik mpango wa fadhila wa Urusi kwa kikwazo
WAKUU WA MAJESHI KUTOKA NCHI 30 AFRIKA KUKUTANA BOTSWANA June 24, 2024 Habari Kamandi ya Jeshi la Marekani Barani Afrika inatarajia kufanya mkutano wa wakuu wa majeshi nchini Botwana na kushirikisha nchi 30
VISA YA MATIBABU ITARAHISISHA KUKUZA UTALII TIBA June 23, 2024 Afya, Utalii Professa Janabi aishauri serikali kuharakisha mchakato wa visa ya matibabu ili kuongeza utalii tiba nchini
PUTIN: tupo tayari kwa majadiliano na NATO June 23, 2024 Siasa Putin akaribisha jumuiya za kimataifa ikiwemo NATO katika majadiliano juu ya usalama wa Ukanda wa EurAsia unaojumuisha nchi za Ulaya