Amir wa Kano, Muhammad Sanusi II arudi tena madarakani Gavana Yusuf wa Kano ametimiza ahadi yake ya kumrudhisha katika nafasi ya Amir, Muhammad Sanusi II baada ya kutolewa na Ganduje mwaka 2020 Jamii, Siasa May 25, 2024 Soma Zaidi
Israel yajibu mashambulizi ya Iran April 19, 2024 Maafa Israel yajibu mashambulizi ya Iran kwa kupiga makombora mji unaoaminiwa kuwa ni Ngome ya Nyuklia ya Iran siku ya Ijumaa
Utata wa wahusika shambulizi la ukumbi Moscow March 25, 2024 Maafa, Uhalifu Urusi inapeperusha bendera nusu mlingoti, huku ikizozana na Media za magharibi juu ya nani amehusika na shambulio la ukumbi wa
Watu 60 wamekufa shambulizi la Moscow March 23, 2024 Maafa Shambulio la ukumbi wa Tamasha la Picnic nchini Urusi katika mji wa Moscow limesababisha vifo takriban 60, zimesema taarifa kutoka FSB
Niger kusitisha Mkataba wa kijeshi na Marekani March 18, 2024 Siasa Niger yavunja makubaliano yake na marekano baada ya marekano kuingiza askari wengi nchini humo bila taarifa ya idadi na majukumu
Marekani yaingiza nchini mchele wenye virutubisho March 15, 2024 Afya, Biashara, Kilimo Marekani yaingiza nchini mchele na majaragwe yaliyoongezwa virutubisho kwa shule mbalimbali za mkoani Dodoma
Mmarekani aliyekwama Gaza anajihisi ni ‘raia wa daraja la pili’ October 19, 2023 ISRAEL - GAZA, Siasa Wanandoa wa Michigan wamefungua kesi dhidi ya serikali ya Marekani ili kuhimiza kuondolewa kwa Wamarekani Ukanda wa Gaza
Vita vya Israel-Hamas: Orodha ya matukio muhimu, siku ya 12 October 18, 2023 ISRAEL - GAZA, Maafa Soma taarifa muhimu kuhusu vita vya Israel na Hamas katika siku yao ya 12 ya mzozo. Tathmini ya hali ya
Marekani yatangaza kusitisha msaada Gabon September 27, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi yake itasitisha misaada uliyokuwa inaitoa kwa nchi ya Gabon
Urusi yawafukuza wanadiplomasia wa Marekani September 15, 2023 Siasa Wizara ya Mambo ya Nje nchini Urusi imetoa siku saba kwa wanadiplomasia wa Marekani kuondoka nchini humo
Urusi na Korea kushirikiana kijeshi September 14, 2023 Siasa Raisi wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Korea kaskazini Kim Jon Un wamekubaliana na kufikia makubaliano ya kushirikiana kijeshi
Trump ashtakiwa tena kwa makosa mapya August 2, 2023 Siasa Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump ameshtakiwa kwa makosa mapya ya kupanga njama za kubadilisha matokeo ya uchaguzi
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma