Vikosi vya RSF Sudan vyateka hospitali Wapiganaji wa RSF nchini Sudan waanzisha mapigano katika jimbo la Sennar na kuteka hospitali hospitali Habari, Maafa, Vita July 1, 2024 Soma Zaidi
14 wafariki katika ajali ya Lori mkoani Mbeya June 5, 2024 Jamii, Maafa, Usafiri Lori lasababisha ajali mbeya na kuua watu 14 akiwemo mtoto wa miaka minne, na kuacha karibu watu 17 wakiwa na majeraha makubwa
Ecuador yatangaza hali ya hatari kutokana na vurugu May 23, 2024 Maafa Rais wa Ecuador atangaza hali ya hatari kwenye majimbo 7 ya nchi hiyo kutokana na vurugu za magenge yenye silaha zinazoendelea
Vifo jengo lililoporomoka Afrika Kusini vyafika 23 May 13, 2024 Maafa Manispaa ya George Afrika Kusini imetangaza kuongezeka kwa vifo vilivyosababishwa na jengo kuporomoka katika manispaa hiyo
Afrika Kusini yaanza uchunguzi wa jengo kuporomoka May 9, 2024 Maafa Mamlaka zinazosimamia eneo lilipoporomoka jengo nchini Afrika kusini zimeanza kuchunguza sababu za jengo hilo kuporomoka na uokoaji
Nyara za Serikali zawasababishia kifungo cha miaka 20 May 7, 2024 Maafa, Mazingira, Uhalifu, Utalii Mahakama imewapa adhabu ya miaka 20 jela kwa kila mmoja watuhumiwa wawili wa ujangili kwa kukutwa na nyara za serikali
Waliofariki kwa mafuriko Kenya wafika 228 May 6, 2024 Jamii, Maafa Mamlaka nchini kenya imetangaza vifo tisa zaidi kutkana na mafuriko, na kufanya vifo vilivyotokana na mafuriko hayo kufikia 228
Wachimba wafunzwa madhara ya Zebaki na NEMC May 1, 2024 Maafa, Madini NEMC na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali watoa mafunzo juu ya madhara ya kemikali ya Zebaki kwa Wachimbaji wadogo
Baadhi ya nchi za G20 zakubali kodi ya kidunia kwa matajiri April 27, 2024 Jamii, Maafa, Mazingira Nchi nne za G20 zaridhia kuwa na kodi kwa matajiri wa dunia nzima ili kuapata fedha za kupambana na majanga
Majaliwa: Vifo vinavyotokana na maafa ya mvua vimevuka 150 April 26, 2024 Biashara, Jamii, Maafa, Uchumi, Usafiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa vifo vilivyotokana na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini vimefika 155 na kuna majeruhi zaidi ya 230.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma