Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha Mawaziri Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada ya kipindi cha zaidi ya juma moja kupita akiwa mgonjwa. Afya May 29, 2024 Soma Zaidi
Mahujaji 1000 kulipiwa gharama zote za HIJJA May 29, 2024 Jamii Mfalme wa Saudi Arabia na Msimamizi wa misikiti miwili mitakatifu anatarajia kuwalipia gharama za hijja, mahujaji 1300 msimu huu wa hijja.
Boeing na AirBus zashauriwakuharakisha uzalishaji May 15, 2024 Biashara, Teknolojia, Usafiri Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la Qatar Airways ameyashauri makampuni ya Airbus na Boeing kuongeza kasi ya kuzalisha ndege
HAMAS yataka mapigano yasitishwe Gaza May 6, 2024 Jamii, Siasa Hamas yataka mashambulizi yanayoendelea kuporormoka Gaza yasitishwe, kama kipengele katika makubaliano ya kubadilishana mateka.
Mufti kuelekea Saudia leo April 22, 2024 Jamii Mufti Zuberi wa Tanzania anatarajia kusafiri kuelekea nchini Saudi Arabia baada ya kwa mwaliko wa Katibu Mkuu wa Muslim World
Israel yajibu mashambulizi ya Iran April 19, 2024 Maafa Israel yajibu mashambulizi ya Iran kwa kupiga makombora mji unaoaminiwa kuwa ni Ngome ya Nyuklia ya Iran siku ya Ijumaa
Ayatollah Khamenei aapa kulipiza kisasi kwa Israel April 4, 2024 Siasa Ayatollah Khamenei kiongozi Mkuu wa Iran aapa kulipiza kisasi kwa Waisrael kwa kushambulia ubalozi wa Syria kupitia mtandao wa x
Israel yaomba radhi kwa vifo vya watoa misaada wa Gaza April 3, 2024 ISRAEL - GAZA Israel yaomba msamaha kwa shambulizi lililofanywa dhidi ya watoa misaada wa World Central Kitchen, ambalo lilisababisha vifo vya watu zaidi
Wapalestina elfu 50 waswali Taraweh Msikti wa Aqsa March 22, 2024 ISRAEL - GAZA Wapalestina Elfu hamsini wakusanyika kuswali Taraweh Msikiti wa Aqsa
NETANYAHU: Israel itaendelea na operesheni licha ya kukatazwa March 18, 2024 ISRAEL - GAZA, Maafa Netanyahu ang'ang'ania operesheni yake ya kibabe juu ya mashambulizi ya Rafah, bila kujali amezuiwa kiasi gani kufanya hivyo
UN: Miaka 14 ya vita, bado hali tete Syria March 18, 2024 Habari Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria vina zaidi ya muongo mmoja na hali inazidi kuwa tete kwa wahanga wa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma