Serikali ya Mali kuruhusu shughuli za kisiasa Kiongozi wa Kijeshi na serikali yake waruhusu vyama vya siasa kuendelea na shughuli zake za kisiasa baada ya zuio la mwezi Aprili Siasa July 11, 2024 Soma Zaidi
Dangote Refinery kuorodheshwa Soko la Hisa la London (LSE) May 31, 2024 Nishati, Uchumi Dangote Petroleum Refinery imetoa tamko la kampuni hiyo kuorodheshwa kwenye masoko ya hisa ya Nigeria na London
Ghana: Mahakama kujadili mswada wa LGBTQ+ May 9, 2024 Jamii, Uhalifu Mahakama kuu ya Ghana ipo kwenye majadiliano juu ya pingamizi dhidi ya sheria inayopinga ushoga nchini humo
Waandamana kutaka majeshi ya kigeni kuondoka April 15, 2024 Jamii, Siasa Wananchi waandamana nchini Niger kupinga uwepo wa vikosi vya majeshi ya kigeni hasa vikosi vya Marekani vyenye kambi kusini mwa
Sierra Leone: wachimba makaburi kutengeneza dawa za kulevya April 9, 2024 Afya, Jamii Watengeneza madawa waanza kuchimba makaburi li kupata mifupa kama kiambato cha dawa za kulevya aina ya Kush au Zombie nchi
Matokeo ya Awali – Uchaguzi Mkuu wa Senegal March 25, 2024 Siasa Bassirou Diomaye Faye anaongoza mbio za urais Senegal kama ilivyotangazwa katika matokeo ya awali Radio Futurs Médias (RFM)
Kiongozi wa sudan aapa kuwawinda wanajeshi wa RSF March 14, 2024 Siasa Mkuu wa Baraza tawala la Sudan Abdel Fattah Al-Burhan ameapa kuendelea kuwawinda wanajeshi wa Rapid Support Forces (RSF) kote nchini.
Sylvia Bongo Matatani kwa ubadhirifu Gambia October 13, 2023 Siasa, Uhalifu Sylvia Bongo na mwanawe Noureddin Bongo washitakiwa kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma, utakatishaji fedha na rushwa nchini
Niger: aondoke ndani ya saa 72 October 11, 2023 Siasa Baada ya Serikali ya kijeshi nchini Niger kuzuiwa kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa, yatoa saa chache kwa afisa wa
Air France yazuiwa nchini Mali October 11, 2023 Siasa Serikali ya Mali yazuia safari za Air France na kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa mamlaka ya Anga nchini humo.
Siku tatu za maombolezo baada ya kupoteza askari 29 Niger October 3, 2023 Maafa Uongozi wa kijeshi nchini Niger umetoa siku tatu za maombolezo baada kuuwawa kwa wanajeshi wake 29 na waasi
Marekani yatangaza kusitisha msaada Gabon September 27, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi yake itasitisha misaada uliyokuwa inaitoa kwa nchi ya Gabon
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma