Tanzania. Waziri wa Kilimo akanusha kuhisika na mbolea feki Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akataa Tanzania kuhusika na kupeleka mbolea feki nchini Kenya, taarifa hiyo aliichapisha katika ukurasa wake wa mtandao wa X Biashara, Kilimo, Siasa, Uchumi April 27, 2024 Soma Zaidi
Mufti kuelekea Saudia leo April 22, 2024 Jamii Mufti Zuberi wa Tanzania anatarajia kusafiri kuelekea nchini Saudi Arabia baada ya kwa mwaliko wa Katibu Mkuu wa Muslim World
OCHA Somalia: Mvua hizi zitaathiri watu laki 7 nchini April 22, 2024 Jamii, Maafa Ofisi ya Umoja wa Mataifa za kuratibu Masuala ya Kijamii (OCHA) Somalia imatengaza kuwa Mvua za Gu zitaathiri watu zaidi
Polisi Tanzania kushiriki mafunzo na nchi nyingine 14 April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Polisi Tanzania kuwa mwenyeji wa mafunzo ya pamoja kwa nchi 14 za Afrika mashariki ili kuongeza uwezo wa maafisa wa
DAR ES SALAAM: Bei ya mafuta yapaa April 3, 2024 Jamii, Nishati Bei ya mafuta Dar es Salaam imepanda kutokana na mafuta hayo kununuliwa kwa fedha za kigeni (Euro) baada ya dola
Simba wapungua kwa 45% nchini Uganda March 27, 2024 Habari, Utalii Waziri wa Utalii nchini Uganda akiri kupungua kwa Simba nchini humo kwa asilimia zaidi 40% kutokana na uhasama baina yao
TANZANIA, KENYA kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru March 25, 2024 Biashara Tanzania na Kenya zimetia saini makumaliano juu ya mambo kadhaa katika kutatua vikwazo mbalimbali vya kibiashara baina ya nchi hizo
Hatimaye Mtoto wa Museveni awa Mkuu wa Majeshi March 22, 2024 Siasa Mtoto wa Ris Museveni, Muhoozi Kainerugaba maarufu kwa machapisho ya kuivamia Kenya kijeshi ameteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda
Benki ya biashara Ethiopia yamwaga dolari kwa wateja March 19, 2024 Biashara Kutokana na hitilafu katika mifumo ya ATM wateja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia wamejichukulia mamilioni ya dola kutoka katika
MAREKANI umewaonya raia wake waliopo Nairobi kupitia ubalozi March 16, 2024 Habari Ubalozi wa Marekani wa Nairobi watoa tahadhari kwa raia wake juu ya uwezekano wa matukio ya kihalifu kutokea jijini humo
Congo: Tshisekedi anaongoza uchaguzi wa Urais December 29, 2023 Siasa Tshisekedi wa Congo ambwaga Katumbi kwenye uchaguzi, Hadi sasa anaongoza kwa asiliia 70, na kuwaacha baadh hawana hata asilimia moja
Watahiniwa wakamatwa na Bangi November 14, 2023 Uhalifu Watahiniwa wanne wa kidato cha nne wakamatwa wakivuta bangi katika ofisi ya michezo shuleni. Watafikishwa mahakami baada ya mitihani
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma