Uganda: Afungwa miaka 6 jela kwa kumtukana Rais Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais na vitendo vingine vya uchochezi lupitia Tiktok Habari July 11, 2024 Soma Zaidi
Serikali ya Mali kuruhusu shughuli za kisiasa July 11, 2024 Siasa Kiongozi wa Kijeshi na serikali yake waruhusu vyama vya siasa kuendelea na shughuli zake za kisiasa baada ya zuio
Vikosi vya RSF Sudan vyateka hospitali July 1, 2024 Habari, Maafa, Vita Wapiganaji wa RSF nchini Sudan waanzisha mapigano katika jimbo la Sennar na kuteka hospitali hospitali
WAKUU WA MAJESHI KUTOKA NCHI 30 AFRIKA KUKUTANA BOTSWANA June 24, 2024 Habari Kamandi ya Jeshi la Marekani Barani Afrika inatarajia kufanya mkutano wa wakuu wa majeshi nchini Botwana na kushirikisha nchi 30
VISA YA MATIBABU ITARAHISISHA KUKUZA UTALII TIBA June 23, 2024 Afya, Utalii Professa Janabi aishauri serikali kuharakisha mchakato wa visa ya matibabu ili kuongeza utalii tiba nchini
Veronica Nduva Katibu Mkuu mpya EAC June 5, 2024 Jamii, Siasa Bi. veronica Nduva anatatarjiwa kuapishwa hivi karibuni kushika nafasi ya katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
KQ: Tulirudisha ndege Nairobi kutokana na Upepo mkali June 5, 2024 Usafiri Shirika la Ndege la Kenyan Airways (KQ) lasema upepo mkali kama sababu ya ndege yake kushindwa kutua katika uwanja wa
Fupa la Mjusi Mkubwa wa Zimbabwe lazua spishi mpya May 31, 2024 Elimu, Mali Kale, Utalii Fupa la mguu wa Mjusi mkubwa (Dinosaur) lililogunduliwa karibu na Ziwa Kariba nchini Zimbabwe laibua spishi mpya ya watambaachi (Reptilia)
Dangote Refinery kuorodheshwa Soko la Hisa la London (LSE) May 31, 2024 Nishati, Uchumi Dangote Petroleum Refinery imetoa tamko la kampuni hiyo kuorodheshwa kwenye masoko ya hisa ya Nigeria na London
Kenya kuongeza mtaji katika benki ya AFDB May 30, 2024 Biashara, Uchumi Rais Ruto atangaza kuongeza hisa kwenye benki kubwa tatu za Afrika ikiwemo AFDB, kutokana na hamasa aliyopata baada ya kuona
Rais Samia ziarani nchini Korea kusini May 30, 2024 Biashara, Madini, Usafiri Rais Samia atakuwa kwenye ziara ya siku 7 Korea Kusini pamoja na kuhudhuria mkutano wa mwaka wa nchi za Afrika
BOEING kuweka Makao Makuu ya Afrika nchini Ethiopia May 29, 2024 Uchumi, Usafiri Shirika la kutengeneza ndege duniani la Boeing limeichagua Ethiopia kama nchi itakayoweka Makao makuu ya shirika hilo barani Afrika.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma