Fupa la Mjusi Mkubwa wa Zimbabwe lazua spishi mpya Fupa la mguu wa Mjusi mkubwa (Dinosaur) lililogunduliwa karibu na Ziwa Kariba nchini Zimbabwe laibua spishi mpya ya watambaachi (Reptilia) Elimu, Mali Kale, Utalii May 31, 2024 Soma Zaidi
TANROADS kuendelea kwatumia wataalamu waliostaafu May 30, 2024 Elimu, Usafiri Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ameweka wazi mpango wa Serikali kuwatumia wataalamu wabobezi waliostaafu ili kujenga kizazi kijacho
Dkt. Magembe: Tutumie Ardhi vizuri May 30, 2024 Elimu, Jamii, Uchumi Dkt. Magembe awaasa watanzania kutumia ardhi vizuri katika ujenzi wa makazi na miundombinu mingine ili kuongeza thamani ya wanavyovijenga
Wakufunzi Mkwawa wapatiwa semina ya Usawa wa kijinsia May 6, 2024 Elimu, Jamii Wakufunzi wa chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) wapewa semina ya usawa wa jinsia ili kujiandaa na utekelezaji wa mradi
Bashungwa awataka wamiliki wa shule kutoa elimu ya kujiokoa April 19, 2024 Elimu Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa atoa wito kwa wamiliki wa Shule kutoa elimu juu ya namna ya kujiokoa pindi majanga
Monduli: Mbunge aahidi vitanda sekondari ya Oltinga April 9, 2024 Elimu Mbunge wa Monduli Fredirick Lowassa aahidi kutoa vitanda vya bweni la wanafunzi kwa shule ya kwanza ya Kata ya Oltinga
Ziara ya Mufti Morocco yaleta tija February 11, 2024 Elimu, Jamii Mufti ametoa wito kwa watanzania wenye sifa wakiwemo maimam,walimu wa madrasa na makhatibu kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi 200 za
IIT Madras Zanzibar yafungua milango November 7, 2023 Elimu Chuo cha IIT Madras Zanzibar chafungua milango rasmi kwa kudahili wanafunzi 45 kutoka nchi 4 duniani, na wanawake wakichukua 40% ya wanafunzi
IIT MADRAS: Tumeitwa na Uigereza September 23, 2023 Elimu Chuo cha IIT kimepata mualiko wa kuanzisha tawi lake nchini Uingereza, baada ya kuanzishwa kwa matawi ya nje ya India
Tanzania ina jumla ya maprofesa 226 September 5, 2023 Elimu Hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikua na jumla ya maprofesa 226 Kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki
Wenye degree na masters wakafundishe shule za msingi August 31, 2023 Elimu Raisi wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema ili kukuza elimu ya Tanzania basi walimu wenye shahada na
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma