Kaunti ya Kilifi yapiga marufuku Mugoka Siku chache baada ya Kaunti ya Mombasa kupiga marufuku biashara ya Mugoka, Kaunti ya Kilifi imewaunga mkono na kukataza biashara hiyo Afya, Biashara May 25, 2024 Soma Zaidi
Boeing na AirBus zashauriwakuharakisha uzalishaji May 15, 2024 Biashara, Teknolojia, Usafiri Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la Qatar Airways ameyashauri makampuni ya Airbus na Boeing kuongeza kasi ya kuzalisha ndege
Mchengerwa: halmashauri biashara ya hewa ukaa inalipa May 9, 2024 Biashara, Mazingira, Utalii Waziri wa TAMISEMI awataka wakurugenzi wa wilaya wenye misitu ya asili kwenye wilaya zao, kuanzisha biashara ya hewa ukaa kama
Wachimba wafunzwa madhara ya Zebaki na NEMC May 1, 2024 Maafa, Madini NEMC na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali watoa mafunzo juu ya madhara ya kemikali ya Zebaki kwa Wachimbaji wadogo
Tanzania. Waziri wa Kilimo akanusha kuhisika na mbolea feki April 27, 2024 Biashara, Kilimo, Siasa, Uchumi Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akataa Tanzania kuhusika na kupeleka mbolea feki nchini Kenya, taarifa hiyo aliichapisha katika ukurasa wake
Majaliwa: Vifo vinavyotokana na maafa ya mvua vimevuka 150 April 26, 2024 Biashara, Jamii, Maafa, Uchumi, Usafiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa vifo vilivyotokana na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini vimefika 155 na kuna majeruhi zaidi ya 230.
Tanzania: Asilimia 96 ya vijiji vimepelekewa umeme April 24, 2024 Biashara, Jamii, Nishati, Uchumi Ni asilimia 4 tu ya vijiji vya Tanzania havina umeme, na Wzara ya Nishati inapambana kuhakikisha umeme unafika ili kuimarisha
Matokeo ya Sensa wanyamapori na watalii hadharani April 22, 2024 Biashara, Mazingira, Uchumi, Utalii Wizara ya Utalii kupitia taasisi ya utafiti wa wanyamapori (TAWIRI) imefanya sensa ya wanyama na watalii wa nje nchini.
Kesi ya aina yake juu ya maoni hasi Ramani za Google April 19, 2024 Biashara, Jamii, Uchumi Kampuni ya Google imeshtakiwa na Madaktari 60 nchini Japan juu ya maoni hasi kuhusu kliniki zao katika Ramani za Google
whatsApp Threads zatolewa App Store ya China April 19, 2024 Biashara, Uchumi App Store yatoa WhatsApp na Threads katika App Store yake kwa waterja wa China ingawa bado kuna programu nyingine nyingi
Mwigulu Nchemba akaribisha wawekezaji wa Nishati April 19, 2024 Nishati Waziri wa Fedha wa Tanzania Mwigulu Nchemba awakaribisha wawekezaji wa sekta ya nishati ili kuzalisha nishati itakayoleta chachu ya Manedeleo
TARURA kuunganisha kata mbili kwa bilioni 1.8 April 11, 2024 Biashara, Kilimo, Usafiri TARURA kuunganisha Kata mbili Wilayani Kilomberi Moani Morogoro kwa ujenga daraja la chuma pamoja na barabara ya changarawe kilomita 15