ZINAZOVUMA:

Balozi Yakub apelekwa Comoro

Balozi Yakub apangiwa kuwakilisha Taifa la Tanzania kama balozi...

Share na:

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro.

Balozi Yakub anachukuwa nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima aliyemaliza muda wake.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhuru Yunus imeeleza kuwa uteuzi huo unaanza mara moja.

Balozi Yakub aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya michezo kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi tarehe 23 Septemba 2023.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya