ZINAZOVUMA:

Bakwata yajiandaa kuipokea Ramadhani.

Baraza kuu la waislamu Tanzania Bakwata Chini ya Kaimu Sheikh...

Share na:

Baraza kuu la waislamu Tanzania Bakwata limeandaa na kufanya kongamano la kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani na maadili lililofanyika katika viwanja vya Karimjee tarehe 20 March 2023.

Kongamano hilo limelenga kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini pia kuzungumzia kuhusiana na mmonyoko wa maadili ikiwa ni changamoto inayoikumba jamii kwa sasa.

Miongoni mwa wazungumzaji waliokuwepo katika kongamano hilo ni Sheikh Issa Othman, sheikh Nurdin Kishk, Sheikh Yusufu kidago, Sheikh Muharram Mziwanda, pamoja na Sheikh Hillary kipozeo.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,